NEWS AND EVENTS


60% Complete (warning)
  • 2025-09-12
  • Event Image

    Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, amelaani vikali kitendo cha wizi wa transfoma mbili zenye thamani ya shilingi milioni 28 kilichofanywa na watu wasiojulikana katika maeneo ya mabonde ya Umwagiliaji huko Cheju, Wilaya ya Kati Unguja.

    Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, amelaani vikali kitendo cha wizi wa transfoma mbili zenye thamani ya shilingi milioni 28 kilichofanywa na watu wasiojulikana katika maeneo ya mabonde ya Umwagiliaji huko Cheju, Wilaya ya Kati Unguja. Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo hilo la tukio, Waziri Shamata alisema kuwa transfoma hizo zilikuwa na uwezo wa kuendesha visima viwili vya maji kwa ajili ya kumwagilia mashamba, na kwamba tukio hilo limeathiri

  • 2025-08-29
  • Event Image

    KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Ali Khamis Juma, amewataka waajiriwa wapya wa wizara hiyo kufanya kazi kwa nidhamu, uwajibikaji na weledi ili kuhakikisha huduma bora kwa wananchi. nipe kichwa cha habari

    KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Ali Khamis Juma, amewataka waajiriwa wapya wa wizara hiyo kufanya kazi kwa nidhamu, uwajibikaji na weledi ili kuhakikisha huduma bora kwa wananchi.\r\n\r\nAkizungumza katika ukumbi wa wizara hiyo Maruhubi, Katibu Mkuu huyo aliwataka watumishi hao kutumia vyema fursa waliyoipata kwa manufaa ya taifa.\r\n\r\nSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina dhamana kubwa kwa wananchi wake. Hivyo ni wajibu wenu kufanya kazi kwa bidii na

  • 2025-09-12
  • Event Image

    WIZARA YA KILIMO KUSHIRIKIANA NA WADAU KUKUZA SEKTA YA KILIMO

    Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini, hasa katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Ali Khamis Juma, wakati wa uzinduzi wa mradi Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Maruhubi. Amesema Mradi huo unalenga kupunguza upungufu wa uzalishaji wa chakula unaosababishwa na

  • 2025-08-14
  • Event Image

    MISITU NI MUHIMU KWA UHAI WA BINAADAMU

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Ali Khamis Juma, amesema kuwa misitu ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya uhai kwa binadamu, hivyo ni muhimu kuitunza, kuihifadhi na kuepuka uharibifu wake ili iweze kuendelea kuwa na faida kwa jamii na taifa kwa ujumla.\r\n\r\nAkizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha Asubuhi Njema kilichorushwa na ZBC TV, Katibu Mkuu alitoa kauli hiyo wakati akiwa katika banda la Idara ya Misitu kwenye Viwanja vya Maonesho ya