KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO ALI KHAMIS JUMA AMEKUTANA NA MENEJA WA CRDB STANLEY KINEMELO KUJADILI USHIRIKIANO WA KUTOA MIKOPO KWA WAKULIMA WADOGO KUPITIA MRADI WA TANZANIA AGRICULTURE CLIMATE, ILI KUWAENDELEZA NA KUWAWEZESHA KULIMA KIBIASHARA.
MAKAMU WA PILI WA RAISI MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLA AKABIDHI VYETI VYA PONGEZI KWA WASHIRIKI WA MAONESHO YA KILIMO NANENANE DOLE KIZIMBANI - UNGUJA
MAKAMU WA PILI WA RAISI MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLA AZINDUA KITABU CHA MPANGO WA MAGEUZI YA SEKTA YA KILIMO 2025 - 2035 HAPO DOLE KIZIMBANI.
WAZIRI SHAMATA KHAMIS KWA KUSHIRIKIANA NA OCP, AMEZINDUA MAABARA YA AFYA YA UDONGO INAYOTEMBEA KATIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP ZANZIBAR.
❮
❯