NEWS AND EVENTS


60% Complete (warning)
  • 2025-05-20
  • Event Image

    Katibu mkuu Wizara ya Kilimo, Umwangiliaji, Maliasili na Mifugo Ndg. Ali Khamis Juma ameshiriki katika upandaji miti katika Bwawa la Umwagiliaji la Kinyasini kisongoni Mkoa wa Kaskazini Unguja

    Katibu mkuu Wizara ya Kilimo, Umwangiliaji, Maliasili na Mifugo Ndg. Ali Khamis Juma ameshiriki katika upandaji miti katika Bwawa la Umwagiliaji la Kinyasini kisongoni Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni muendelezo wa upandaji miti katika msimu huu wa Masika .<br>\r\nUpandaji huo wa Miti uliwashirikisha wafanyakazi wa Idara ya Misitu, Idara ya Umwagiliaji, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Kikosi cha Kujenga Uchumi JKU, Una lengo la kuhifadhi Mazingira, kutunza vyazo vya maji na kuzuwia

  • 2025-05-20
  • Event Image

    WAZIRI WA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO MHE. SHAMATA SHAAME KHAMIS ASHIRIKI KATIKA UPANDAJI MITI KWA MAAZIMISHO YA SIKU YA MISITU DUNIA.

    Serikali itaendelea kuhamasisha na kutoa elimu kwa jamii juu ya suala zima uhifadhi wa misitu na upandaji wa miti<br><p>Ameyaeleza hayo Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Shamata Shaame Khamis alipokuwa katika madhimisho ya siku ya misitu Duniani yalioyofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskizini Unguja.</p><p>Amesema ni vyema jamii kushirikiana kwa pamoja katika uhifadhi wa misitu kwani hupelekea kuboresha mazingira na kutunza vyanzo vya maji na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya