N/AºC, Unavailable
Sunday, 15th June, 2025
Posted: 2025-05-20
Katibu mkuu Wizara ya Kilimo, Umwangiliaji, Maliasili na Mifugo Ndg. Ali Khamis Juma ameshiriki katika upandaji miti katika Bwawa la Umwagiliaji la Kinyasini kisongoni Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni muendelezo wa upandaji miti katika msimu huu wa Masika .
\r\nUpandaji huo wa Miti uliwashirikisha wafanyakazi wa Idara ya Misitu, Idara ya Umwagiliaji, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Kikosi cha Kujenga Uchumi JKU, Una lengo la kuhifadhi Mazingira, kutunza vyazo vya maji na kuzuwia mmong\"onyoko wa Ardhi, ili kufikia shabaha ya utekelezaji wa Programe ya kuwa na Zanzibar ya Kijani.
\r\nKatibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwangiliaji, Maliasili na Mifugo Ali Khamis Juma ameshiriki katika upandaji miti katika Bwawa la Umwagiliaji la Kinyasini Kisongoni Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni muendelezo wa upandaji miti katika msimu huu wa Masika .

\r\n