UPCOMING EVENTS
SHIME TUTUMIENI MSIMU HUU WA MASIKA KWA KILIMO SAHIHI
Posted: 2026-05-11
WAZIRI WA KILIMO MH. SULEIMAN MASOUD MAKAME AFUNGUA KIKAO CHA UHAKIKI WA RASIMU YA TAARIFA YA HAKI ZA BINADAMU ZANZIBAR
Description
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar, Mhe Suleiman Masoud Makame akimuwakilisha Waziri wa nchi afisi ya Rais ,Katiba ,Sheria ,Utumishi na Utawala bora amefungua kikao cha wadau wa Zanzibar cha kupitia na Kuhakiki rasimu ya taarifa ya hali ya haki za binaadamu katika mzunguko wa nne wa mfumo wapitio ya kipindi maalum kilichofanyika Ukumbi wa Hotel ya Madinatul bahar Mbweni Zanzibar.
\r\nFollow Us
8,045
Fans
8,045
Followers
8,045
Followers
8,045
Subscribers