KIWANDA CHA KUSARIFU SAMAKI KUJENGWA-February 2019

WIZARA YA KILIMO MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI IMETILIANA SAINI NA KAMPUNI YA SEREKALI YA WATU WACHINA (CCICC) UAZISWAJI WA UJENZI WA KIWANDA CHA KUSARIFU SAMAKI ZANZIBAR AKIZUNGUMZA KATIKA GHAFLA HIYO WAZIRI WA KILIMO MALIASILI MIFUGO NA UVUVI MHE: RASHID ALI JUMA ALIISHUKURU SEREKALI YA CHINA KWA MASHIRIKIANO NA KUPONGEZA JITIHADA ZAO ZA KUISAIDIA ZANZIBAR KATIKA MIRADI YA KIMAENDELEO AMBAZO LENGO LAKE NI KUKUZA UCHUMI WA NCHI KWA KUTUMIA RASLIMALI ZA BAHARI AMBAZO ZITANUFAISHA WANANCHI KWA UJUMLA KATIKA UTIAJI SAINI HUO MENEJA WA KAMPUNI YA SEREKALI YA WATU WA CHINA NDUGU RICHARD GUO ALIELEZA KUWA ZANZIBAR IMEPATA BAHATI YA KIPEKEE YA KUZUNGUKWA NA BAHARI, HIVYO KUWEPO KWA FURSA YA UVUVI WA BAHARI KUU KUTAPELEKEA UPATIKANAJI WA SAMAKI KWA WINGI AMBAO WATATOA NAFASI YA AJIRA KWA VIJANA NA KUELEKEA KWENYE UCHUMI WA VIWANDA.